MAOMBI YA FEDHA KWA WAFADHILI KAIBANJA 2017/18

MIRADI ILIYOOMBWA KUFADHILIWA KATA KAIBANJA 2017/18

  • Ubalozi wa Marekani: Kujenga vyanzo vya maji vya Kinura,Katengo, Kamuhoko,Rugasha,Kinyinya na Kitoro(Kabasilamu)
  • Tanzania Development Trust(London): Kompyuta kwa ajili ya Shule ya Sekondari Kaibanja.
  • Ubalozi wa Marekani: Kituo cha ufundi kwa watoto wenye Ulemavu Kaibanja.

Comments